KACOU 9 : HUDUMA YA MWANAMKE

(Ilihubiriwa Jumapili asubuhi mnamo mei 03, 2003 pa Locodjro, Abidjan – Ivory-Coast)


1 Nataka kuhubiri kuhusu: huduma ya mwanamke. Kwanza tunaona ya kwamba Mungu aliumba mume  kwa mwisho siku ya sita na mwanamke hakuweko. Na kisha alipumzika siku ya saba, ambapo inabidi kuona miaka kadhaa. Kisha alipoona kwamba mume alikuwa peke, Mungu akaamua kumfanyia msaidizi. Hivyo, katika mpango wa kwanza, Mungu hakuona mke kuwa lazima. Ndiyo maana usomi bora wa Mwanzo 2:18 ni: « Na Bwana Mungu akasema: si vema [zaidi] mume awe peke; nitamfanyia msaidizi anaye mstahili».   

2 Basi mwanamke hakuwa katika mpango ya kwanza ya Mungu bali yeye alitoka ndani ya mume. Mbwa, kuku, na viumbe wengine wa kike ni viumbe vya kwanza vya Mungu, lakini sivyo  kuhusu mwanamke. Ndiyo maana kwa kila aina ya mnyama, kujamiiana ni kwa muda fulani, ni tofauti na mwanadamu. Na huwezi kuona mbwa akimpandia mbwa jike aliye na mimba. Mnaona? Sivyo kwa mwanadamu. Hata mwanamke mzee asiye ona tena hezi anafanya tena tendo la ndoa. Mnaona? Naweza kusema basi kwa heshima yote ya kwamba mwanamke ni kiumbe cha hali ya chini sana katika uumbaji.   

3  Na ni Mungu peke katika ukubwa wake alimweka chini ya mamlaka ya mume. Hivyo, wakati yeye hayuko chini ya mamlaka ya baba yake, anajiweka chini ya mamlaka ya mume wake. Baba yake au mume wake ana mamlaka ya kuvunja naziri zake. Angalieni Hesabu 30… Mnaona? Yesu Kristo hakuja kuvunja mambo haya.   

4 Basi kulingana na Mwanzo sura 2 tunaelewa kwamba mwanamke hakuwa pale wakati Mungu alikuwa akileta maagizo kwa Adamu katika bustani ya Edeni. Kuna sababu! Hakuwapo wakati Adamu alikuwa akileta majina kwa wanyama, ndege na vingine! Mnaona? Mungu alifanya mambo haya yote ili mwanamke atambue kwa upole nafasi yake.   

5 Na Kuhusu huduma yake, ikiwa mtu hakuja duniani kwa kutimiza kazi fulani kama Yuda Iskariota, hawezi kukubali mwanamke mimbarini; na kama wewe si beberu, ambaye alizaliwa kwa kudanganywa, huwezi kukaa na kusikiliza mwanamke anapo hubiri au kuongoza nyimbo japo wanaume ni pale! Hata kama anaifanya vizuri, ni shetani iliyo nyuma yake. Maumbile yenyewe yanatufundisha kwamba mwanamke hana ndani mwake mbegu za uzazi. Basi hawezi kuhubiri na kuleta Uzima wa milele. Na kijana moja tu katikati ya wanawake elfu anabadilisha aina ya kundi kuwa ya kiume sababu ya mamlaka ya mume.   

6    Mtoto wa Mungu hawezi kwenda kinyume ya mambo ambayo Mungu ameweka hata bila Roho Mtakatifu, hata pata salama! Biblia haiwezi kujipinga. Yesu angeweka mwanamke kuwa mtume au mfwasi halafu ingeonyesha wazi kwamba yeye si Masiya. Paulo angeruhusu mwanamke kuhubiri halafu ingeonyesha wazi kwamba Paulo alikuwa mwongo. Haidhuru miujiza atakayo fanya, ingekuwa tu miujiza ni ya udanganyifu [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

7   Huduma ya mwanamke na ndoa ya mashoga ni machukizo makubwa sana mawili ya siku za mwisho. Na mtu anaye ingia kanisani ambamo mwanamke anahubiri ni kama mtu anaye shiriki maandamano ya mashoga. Kumepita miaka elfu mbili, wanadamu hawakujua kwamba siku moja, mashoga wataweza kuandamana humo Yerusalemu. Kumepita miaka elfu mbili, wanadamu hawakujua kwamba siku moja mwanamke, ingawa hezi zake, ataweza kuhubiri mbele ya watu katika makanisa. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

8 Katika Agano la Kale nzima, hapakuwa  na kuhani mwanamke. Hata duniani, hapakuwa na waziri mwanamke, ni ukombozi wa mwanamke uliyomweka hapo! Katika kifaransa hakuna neno «waziri» katika jinsia ya kike. Na tunajua kwamba wanawake walionekana katika kazi za mataifa kupitia ukombozi wa mwanamke. Mwanamke wa kwanza katika ukombozi duniani ni Naama binti wa Kaina. 

9  Na mwanamke wa kwanza katika ukombozi huko Israeli ni Yezebeli, mwanamke mgeni. Lakini mwanzoni haikuwa hivyo. Na  tuliona wanawake wakipigania haki ya kura huko Ulaya pia huko Amerika lakini mwanzoni katika Agano la Kale, kule Israeli kwa mfano, wanawake hawakuweza kuhesabiwa. Na huko Afrika, mwanamke hawezi kuwa mwami wa kijiji. Hata vijijini wanaume wanapo kusanyika, wanawake hawaruhusiwi kusema. [Kc.10v58] [Kc.22v24] 

10  Ambacho Mungu aliwapa wayahudi kwa maandiko, aliwapa pia wapagani juu ya moyo wao! Je, Ni ninyi mulio wafundisha mataifa kutoa mali katika ndoa? Malimbuko ao kuleta jina ya baba kwa mzaliwa wa kwanza? Na wakati wa dhambi kubwa au wakati wa agano, kufanya toleo ya damu? Ni Mungu ndiye alifanya hivyo. Na ndivyo hivyo Mungu aliwafunulia wapagani pia nafasi ya mwanamke. Hata bila kufundishwa, wanajua kwa mfano kwamba dhambi ya asili ni tendo la ndoa. 

11 Bila kufundishwa, mtoto wa Mungu wa kweli anajua ndani ya moyo wake kwamba tendo la ndoa ni dhambi ambayo Adamu na Hawa walitenda. Lakini wanapo kwenda katika makanisa shetani huwaondolea hii. Na vivyo hivyo sheteni ndiye huweka mwanamke mimbarini.  Kanisa limekusudiwa kuwa bibi-arusi wa Kristo. Na kanisa linalokubali mwanmke kwenye mimbari ni kanisa la wasagaji. Na wanawake wote wanaopanda kwenye mimbari wana ma ngono ya wanaume katika ndoto na wengi wamekiri hii kwangu.

12   Na sielewi kuona watu na Biblia mkononi kuweza kutenda hivyo, kuweka wanawake mimbarini kuhubiri au kuongoza nyimbo za kusifu japo wanaume wako pale. Na mara, inawezekana wanawake wawe damuni, na wanaweka vitambaa chini yao na wanakuja  mimbarini. Ninyi mnao zoea makanisa kama hayo hamna zamiri! Ninyi si watu wazima, ninyi ni uzao wa nyoka, ninyi ni wabaya kuliko wakatolika na waislamu na mnatafuta kuwahubiri. Ikiwa hamfwati shabaha ingine, hamta enda kuketi ndani ya kanisa kama hii. 


13 Hata iwe kuhubiri au kuongoza nyimbo, yote ni sawa. Kuvunja sheria nusu ni kuvunja yote.[Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. Mwanamke anapaswa kaa kimya kanisani. Paulo anasema kwamba jambo la mwanamke kutokuhubiri kanisani ni amri. Paulo anasema katika 1 wakorito 14:34  « Wake wenu wanyamaze katika kusanyiko maana hawaruhusiwi kusema lakini wawe watiifu kama vile isemavyo sheria». Mnaona? Sheria inasema kwamba mwanamke hawezi kusema katika kusanyiko. Hakuna hata mwanamuke mmoja katika ukuhani.   

14   Na Kwa shairi la 37, kuhusu jambo la mwanamke kutokusema katika kusanyiko, Paulo anasema hivi: «Kama mtu anafikiri yeye ni nabii au wakiroho, atambue kwamba maneno ninayo waandikia ninyi ni amri ya Bwana. » [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. Paulo anasema kwamba jambo hili kuwa mwanamke hapaswe kuhubiri katika kanisa, ni amri kutoka kwa Bwana. Na kama una Roho mtakatifu, na wewe ni mwana wa Mungu, hutatembea kinyume cha amri ya Bwana.   

15  Na hao viongozi wa kiinjili wanajidai kuwa na Roho Mtakatifu ambayo haiwaambie chochote, japo Biblia inasema kwamba Atakapokuja, Atawaongoza katika Ukweli wote! Ikiwa katika Agano La Kale, katika mpango wa Baba, Mungu hakuweka wakfu mwanamke kuhani na ikiwa katika fomu ya mwana, hakuweka wakfu mwanamke mtume, sioni sababu gani ataifanya akiwa katika fomu ya Roho Mtakatifu kama vile si yule yule jana, leo na hata milele. Lakini fahamu kwamba kila roho itakayo kubali au kuweka wakfu mwanamke kwa kuhubiri siyo Roho ya Mungu! Na yeyote anayetetea jambo hili ana pepo na hajawahi kujua Neno wala Roho wa Mungu. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

16  Mwanamke anaweza kufanya mambo mengi kwa namna ya upekee au katika kikundi lakini hizo kazi za mamlaka zimewekwa tu kwa wanaume wanapo patikana pale. Inayopitika ndani ya makanisa ni kabisa picha ya ukombozi ya mwanamke  ndani ya unyumba, ndani ya uongozi na ndani ya siasa kinyume na utaratibu wa uungu. Ijapokuwa kuna baba za jamaa wanao kosa kazi, kunakuwa wanawake wanao acha unyumba wao na maadibisho ya watoto wao katika mikono ya televisheni na ya kijakazi. Mtoto mchanga hatapata joto ya mama wala maziwa ya mama wala maadibisho ya mama. Mtoto kama huyo atakuwa je?   

17  Ole kubwa ya mwanadamu ikawa ukombozi wa Hawa, na leo tena, ni ukombozi wa mwanamke, na hii sasa imeingizwa kanisani. [Kc.10v59] 

18  Baada ya wokovu, mwanamke akawa baraka kubwa sana ambayo Mungu alimpa mume, lakini mume alipendelea kumwabudu na kumpa nafasi yake ili mke amtawale! Kama vile pesa ambayo angeweza kutumia imekuwa mungu wake. 

19 Tangazo au gazeti inayoonyesha mwanamke uchi kila mara inapewa heshima tele. Katika viwango vyote, kila mara  shetani husukuma mwanamke kutamani kile ambacho hakupewa na Mungu kama vile kuzaa, kushuhudia kama mwanamke msamaria, kusafisha hekalu, kupanguza viti, kufunga na kuombea kazi ya Mungu kama Ana, kutabiri au kusema kwa lugha kulingana na Yoeli 2:28, siyo kazi ya Mungu. 

20 Hata Foibe katika Warumi 16:1-2 alijulikana kuwa mjakazi wa Mungu kwa kusaidia watakatifu  kuwapokea nyumbani mwake. Na maagizo yote ya mtume Paulo katika 1 Wakorinto 14:34-38 na Timoteo 2:11-15 yalianguka katika masikio ya viziwi, wana wa shetani walizifafanua watakavyo ili wafikie shabaha yao. Mnaona ?   

21   Na katika huduma hii kama vile katika ile ya Bwana Yesu Kristo na katika haidhuru huduma gani halisi, je, hatukuona wanawake wajakazi wa Mungu? Dada Ahou Prisca na Cecile je, hawanisaidii? 

22 Na ilipo hitajika kufanya mchango kwa ajili ya toleo ya kwanza ya kitabu hiki, siyo dada moja aliye toa sehemu kubwa ya mchango? Na kwa toleo ya pili, siyo dada moja aliye toa mikononi mwangu sehemu inayo hitajika kwa toleo nzima? Mnaona? Kwani wana nia nzuri na wanapenda kufanya jambo fulani, Mungu peke huwapa kuifanya. Mnaona? Biblia haizungumzii Ana, Foibe, Tabita, Suzana na wengine?   

23  Je, Biblia yenu yasema katika Mezali 31 kwamba mke mwema ni kuhani? Siku moja mtajibu mbele ya Mungu! [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

24  1Timoteo 2:15 inasema kwamba mwanamke ataokolewa kwa kuolewa, kuzaa na kwa kuadibisha vema watoto wake. Hukumuni kila mwanamke atajibu kwa ajili ya mwenendo ya watoto wake. Mungu anamwita kuadibisha watoto wake. Na badala ya kufikiria mambo haya, anatamani mimbari. Ndugu, hiyo ni uchawi. Na Tommy Osborn anasema kwamba wanawake wanaweza hata kubatiza… Watu kama hao, wasipo tubu, hawatajuta watakapo patikana jehanamu.   

25  Na wanapo soma Zaburi 68:11, wanaacha shairi la 12 kusudi manafsi ambayo wanataka kuchinja yasielewe kwamba ni habari njema ya vita. Someni 1 Samueli 18:6-7: walitoka miji yote… Mnasema: «O Ndugu Philippe, kwetu sisi, wao ni waimbaji tu! ». Ndugu, yote ni sawa! Munionyeshe shairi moja tu ya Biblia mahali mwanamke aliwekwa mwimbaji! Someni Mambo ya siku, Ezdra na Nehemia na mumrudilie Mungu! Someni 2 Mambo ya Siku 35 na mtaona kwamba waimbaji walikuwa walawi, wana wa Asafu kufwatana na amri ya Daudi, wana wa Asafu, na wana wa manabii…   

26  Na namna gani mwanamke anaweza kuwekea mtu mikono? Inawezekana  ana hezi, na kama ndivyo, hata malaika hawezi kukufungua. Hasa sababu hezi yaweza kufika ghafla. Uchungu wa kuzaa na hezi yaweza kufika wakati yoyote hata kwa sababu ya msisimko au sababu ya hali fulani. Ndiyo maana wanawake wanao hubiri huweka kila mara vitambaa chini yao. 

27 Mwanaume anayekaa kusikiliza mwanamke kuhubiri, yeye si mtu mzima, ni mnyama. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. Wayahudi walikataa Masiya lakini myahudi hatakubali kamwe mwanamke madhabahuni! Jueni kwamba hamuabudu na kutumikia Mungu wa wayahudi ambaye Paulo alitumikia. Na muislamu anaye toka uislamu kwa kwenda katika kanisa la kiinjili wala lingine ni mwana wa shetani. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. 

28 Turudi katika 1 Wakorinto 14:34-38! Nanyi, wana na binti wa shetani, sikieni ambacho Paulo anasema baada ya kushuka kwa Roho Mtakatifu: «wanawake wenu wakae kimya katika makutano kwani hawaruhusiwi kusema lakini wawe watiifu jinsi pia inavyo sema sheria. Na kama wanataka kufunzwa jambo fulani, wawaulize waume wao binafsi nyumbani mwao, kwa sababu ni haya kwa mwanamke kusema katika kusanyiko… kama mtu akizani yeye ni nabii au wa kiroho, ajue kwamba maneno ninayo waandikia ninyi ni amri ya Bwana. » [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. 

29 Paulo anasema: «jinsi sheria pia inavyosema!» tena anasema: «Ni amri ya Bwana!»… kutokuhubiri kwa mwanamke kanisani ni amri ya Bwana jinsi sheria pia inavyosema! Mnaona?   

30  Kwa kukubali vitabu tano vya Musa, Waislamu hawakubali mwanamke imamu. Na ni wanawake wasio na hezi ndio wanao kwenda katika Moskiti na sasa mnataka kuwahubiri? Kusudi wanawake wenu waliyo na hezi, wakiwa na vitambaa chini yao wawawekee mikono? Wana wa Kaina! Mlaaniwe! Ndiyo maana Mungu aliweka moyoni mwao kuwachukia ninyi, wana wa dhambi na wa upotevu. Someni Matendo 2:16 na mtaona kama Yoeli 2:28 haitimii pale!... [Kc.13v21]  

31 Lakini wanadamu wanataka kumwonyesha Mungu nini? Makanisa ya kiinjili yanataka kumwonyesha Mungu nini? Ya kwamba mwanamke ambaye Mungu anadharau anaweza pia kufanya mambo mengi? Ya kwamba mwanamke pia ana uwezo na akili kama mwanaume? Ya kwamba mwanamke kuhani, injilisti, mtume, mchungaji au mwimbaji angeweza kufaulu katika kazi yake vizuri sana kuliko mwanaume wowote? Hakika anaweza! Lakini sisi, wana wa Mungu, tunaipinga siyo kwa kuwadharau au kwamba hawataweza mbele ya wanaume lakini kwa sababu Mungu hakuwaruhusu kuifanya. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. 

32 Tusome 1 Timoteo 2:11-12 baada ya kumwangwa kwa Roho Mtakatifu: «...Mwanamke ajifunze katika kimya, kwa utiifu wote; lakini siruhusu mwanamke kufundisha wala kuchukua mamlaka juu ya mwanaume; lakini anapaswa kudumu katika kimya.» Mnaona? Ikiwa Mungu anapaswa kuingia katika kanisa inayo ongozwa na mwanamke, mwanamke huyo anapaswa kutupwa nje, mimbari inapaswa kutupwa nje na kanisa inapaswa kusafishwa. Kwa nini? Kwa sababu ni kanisa iliyo laaniwa. [Ndr: Kusanyiko linasema « Amina! »]. Mungu hajawahi kumpa mwanamke kuwa kuhani na hakuna mtu wa Mungu anayeweza kumpa mwanamke nafasi hiyo.   

33  Na tunafurahi jinsi mtume Paulo, mtakatifu Martin, Colomban, John Wesley, Martin Luther, William Branham, na watumishi halisi wote ambao Mungu aliwatuma duniani hawajawahi kuweka mwanamke mimbarini. Chunguza popote katika historia na uje kuniambia ya kwamba hata mtu mmoja wa Mungu aliweka mwanamke mimbarini. Hata kabla ya karne ya XVIII mambo haya hayawahi kuwa katika ukristo, hata katika ukatolika! Mambo haya yalikuwa kazi ya ukombozi wa mwanamke na ya makanisa za kiinjili. [Kc.22v24-25] 

34  Na katika hii karne ya XX, shetani katika fomu ya mwanadamu, anayeitwa kwa jina la Tommy Osborn alienda hadi kuwaruhusu wanawake kubatiza… Anaye ona Tommy Osborn ameona shetani. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

35  Na baada ya maneno haya, mtoto wa Mungu anaweza tu kutubu ikiwa hashikwi tena na pepo. Na ninaona ulimwengu wote umeshikwa na mapepo wachafu inahitajika uwezo mkubwa kwa kuukomboa. Wana nafsi iliyo vikwa na malaika waliyo anguka. Siyo tena wao wanao ishi, kuwaza au kufikiria bali pepo. Hakika kama wenda-wazimu! 

36 Wao sasa ni wafungwa wa uwezo ambao umewatawala. Hiyo ni kama kanzu la wingu linalo wavika. Siyo kutafuta kuwafasiria vizuri bali kuwafungua. Huwezi kumsaidia  mwenda-wazimu kufikiri! Mnaona? Wana tu imani na mapenzi ya pepo.       

37 Kila kanisa ina pepo ambayo unaweza kupokea kwa kuamini tu teolojia ya kanisa lile, au unapo jiacha kuwekewa mikono na viongozi vyake. Ndiyo maana nawakataza kusoma vitabu vya kidini, hata kama yaliyomo ni kweli! 

38 Dunia nzima imetawaliwa na uaguzi unao waleta kuamini kwamba wao ni katika kweli wakiwa na utabiri na kunena kwa lugha, na miujiza, ili watimize inayosemwa katika 2 Watesaloka 2… Kulingana na kutenda ya shetani kwa aina yote ya miujiza, na alama, na maajabu, na uongo, kwa udanganyifu wote… Kwa wale wanao potea kwa sababu hawakupokea upendo ya Ukweli, ili wapate kuokolewa. Na kwa sababu hiyo, Mungu anawatumia nguvu za upotevu ili waamini uongo na wapate kuhukumiwa! [Kc.10v3] 

39 Ni Mungu peke kulingana na Matayo 24:24, aliye « tokeza » hizo nyota zinazo tangatanga ambazo ni Kacou Séverin, Morris Cerullo, Tomy Osborn, Cecil Robeck, Reinhard Bonnké, Benny Hinn na wengine kwa kujaribu wenyeji wa dunia! Namna gani watu, makanisa wanao mafundisho tofauti wanaweza kuungana na haiwaambii kitu? 

40 Je, mumewahi kuona zizi linalo ndani mwake kondoo, ngombe, mbuzi, nguruwe na aina yote ya wanyama tofauti... na ni hii mnaita upendo? Tommy Osborn anapokwenda katika nchi fulani, wabatisti, wapentekoste, wamethodisti, kusanyiko za miungu,…wanafurahi! [Kc.2v33-34] [Kc.3v28] [Kc.14v17] 

41 Je, Mchungaji wa kimetodisti anaweza kuwa mchungaji katika foursquare au kwa waadventisti? Je, Mmetodisti anaweza kula meza ya bwana kwa wabatisti? Basi mnafanya nini pamoja? Ikiwa nyinyi wote mna Roho Mtakatifu halafu kwa nini haya mapingano? Mathayo, Marko, Luka na Yoane wanapo kuwa na Roho Mtakatifu waliandika Injili nne ya Bwana Yesu, je, walipingana? [Ndr: Kusanyiko linasema: “Hapana!”].   

42  Katika mwanzo ilikuwa Neno na watoto wa Mungu waliumbwa kwa Neno ndiyo maana wanatambuana katika Ujumbe huu, ambao ni ahadi ya Mungu kwa wakati wao. Hata ikiwa watu  arobaini tu ndiyo waliamini duniani kote, ni wale Mungu alijiwekea!   

43  Sawasawa wakatoliki walikataa mageuzi, vivyo hivyo wabranhamisti wamekataa Kelele ya usiku wa manane ili wabaki wakati wa jioni na kuingia katika kambi la makahaba. Na kabla Malaika na Mwana Kondoo kushuka katika ono la 1993, kukawa na patwa jua (mwezi), niliona vizuri fundo nyeusi pahali pa jua. Na ni mbinguni mahali walitoka na dunia iliangazwa… na ninaweza kusema kwa namna kamilifu kwamba wakati wa jioni ulimalizika katika mwaka 1993. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

44  Kulingana na Ufunuo 4:7, tuko katika wakati wa kiumbe chenye uhai cha nne, tai ambayo inapaswa kuinuka juu ya uongo wote, teolojia yote, roho yote ya udanganyifu. Na Biblia inasema kwamba wakati ule tai watakusanyika kando ya Neno mbichi. Na panapokuwa na Neno safi, ni pale wachaguliwa watakusanyika, watoto wa Mungu kulingana na Matayo 24:28. Amina!   

45  Kunguru, wala mizoga, tumbusi, ndege nyingine zinazolishwa kwa nyama,… haziruki juu sana, kwa hivyo yote wanakuta inawafurahisha. Wanacho hitaji, ni kitu kinacho weza kuwashibisha. Iwe ubatizo kwa jina la Yesu Kristo au kwa utatu mtakatifu, wanawake wahubiri au waimbaji,… wanapigania viozo vya teolojia na yote yaliyo achwa na tai. [Kc.16v8] [Kc.40v16] [Kc.131v5] 

46  Na baada ya aprili 24, 1993, katika ono, tuliketi katika chumba cha mtihani ya cheti kuu na mwongozi wa mashindano alikuwa akigawanya nakala ya mtihani. Nilisema moyoni mwangu: «lakini nafanya hapa nini? Mimi sina kiwango cha shule cha kutosha , nitaandika nini? ». 

47 Na baadaye, nikaambiwa: «sawasawa vile Maria alichukua mimba kimiujiza, pasipo kujua mume, sawasawa Musa alipokea moja kwa moja yaliyo pitika kwa uumbaji, wewe pia, umepokea maneno ya Uzima wa milele hii Aprili 24, 1993 na hiyo imepangwa na Mungu. Wakati itakapo timia, utafahamu na utafundisha mambo ambayo hukufundishwa ili yeyote atakaye amini, awe na Uzima wa milele.» [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. [Kc.1v6] [Kc.30v1-3] 

48  Sijawahi kushiriki seminari au mafunzo ya kibiblia, sisomi vitabu vya maduka zao za vitabu vya kikristo lakini nilipata ujuzi wa maandiko… Shida moja ni kwamba sina kiwango cha shule cha kutosha lakini neema ya Mungu itashinda. 

49 Na ninaamini kwamba kazi hiyo inatoka kwa Mungu; ndiyo maana kunaweza kupatikana hapa wanafunzi wa chuo kuu wakikaa hapa, wenye elimu, wahubiri na wachungaji wa kale wa makanisa… Na siku moja, ikiwa Mungu atanikinga na joka, mtaona waamuzi wa aina yote wakikaa kati yenu kwani kati yao pia kunapatikana wachaguliwa. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

50 Biblia inasema katika Ufunuo 12:14 kwamba mabawa mawili ya tai kubwa yatapewa kwa tai wandogo wadogo kwa kuwabeba mbali na uso wa nyoka na tunaona mateso yanayoanza katika shairi la15. Na kwa wakati hiyo hiyo, shetani anajifunua pia kama nyoka katika ile ile shairi, roho ya uaguzi, na yamejaza makanisa.   

51  Yeyote anaye tupilia mbali mahubiri ya Matayo 25:6 atapokea tu roho ya uaguzi kama vile roho mtakatifu! Nimewaonyesha tena Yesu Kristo ambaye muko mkimsulibisha. Na yote muko mnafanya maana yake ni: "Damu yake iwe  juu yetu na juu ya watoto wetu".Kutakuwa mvuto na dunia nzima itaiona. [Kc.10v11] 

52  Haya! Neno «nendeni kukutana naye» si sahihi kwani Kelele na Bwana Arusi ni Moja. Ndiyo maana Kelele ilisema « Tazama » na siyo « yule ». Inawapasa kuachana na makufuru za dunia yaani makanisa katoliki, protestanti, ya kiinjili na ya kibranhamisti na kufwata Kristo. Mnapaswa kukataa huo uchawi, hizo misalaba ndogo ndogo na yote inayo watenga na Mungu na kufwata Ujumbehuu. 

53 Katika siku hizi, hatuna tena tafsiri ya biblia Louis Segond, King James, Ostervald, Semeur, Colombe... tulizichoma. Kumbukeni kwamba katika ono la pili, nilisimama jangwani na Neno lilishuka toka mbinguni, likichukuliwa juu ya mawingu za mbinguni ambazo ni malaika watakatifu, Kama vile wakati wa Musa jangwani… Ikiwa wewe ni mtoto wa Mungu au ikiwa una Roho Mtakatifu, huwezi kubaki mbali na mambo haya kwani Biblia inasema kwamba pahali Neno linapatikana ni pale tai watakusanyika. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »].   

54 Ninyi wandugu wa Afrika, wa Asia, wa Ulaya, au wa Amerika! Mlingojea Ujumbe wa Mtayo 25:6 labda katika nchi yenu lakini Mungu ameifanya namna ingine. Kumbukeni Bwana wetu Yesu Kristo! Akiwa kuhani mkuu Melkisedeki, marabi na waandishi waliona kwamba alipaswa kutoka katika kabila la Lawi. Lakini alitoka katika kabila la Yuda. Tena, ujumbe wake na kazi yake zilithibitisha kwamba yeye ndiye Masiya.  

55 Na leo juu ya uso wa dunia nzima, ikiwa wewe ni mtoto wa Mungu, nafasi yako ni hapa pamoja na nabii wa wakati wako, nabii Kacou Philippe. Na aliye na masikiyo kwa kusikia asikie.   


Comments

Popular posts from this blog

KACOU 23: UFUNUO JUU YA DHAMBI ASILI

KACOU 79: KUNYIMWA VISA NA MARUFUKU YA KUSAFIRI

Kacou 162: Noti kwa mwisho wa Ujumbe wa Mathayo 25:6