Kacou 13: Mahubiri juu ya Uislamu
( Soma pia Kc131 na 136)
(Ilihubiriwa Jumapili 9, Februari 2003 huko Locodjro Abijan-Ivory)
1 Uislamu pia utapokea sehemu yake ya ukweli kulingana na kile ambacho Mungu ameamuru katika Marko 13:35. [Kc.102v17]. 2 Kwa miaka minne, nilikuwa nikitunzwa na familia ya Waislamu. Walinitendea vizuri sana hivi kwamba nina deni ya kuwalipa. Katika miaka minne ya uangalizi, hawakutaka kamwe kupokea senti kutoka kwa wazazi wangu …. 3 Wao ni wana wa Mungu kama ninyi na mimi, lakini ni Mungu ambaye amewaweka kando katika minyororo ya Uislamu kwa muda. Mtazamo wa ulimwengu kwa Waislamu na Waarabu ulikuwa mtazamo ule ule uliokuwa nao kwa Wayahudi wakati wa utawala wa Hitler. Siku inakuja ambapo Mungu atawaita: Watu wangu ... mimi ni kinyume na dini, lakini sio dhidi ya watu. Mnaona? [Kc.25v2] 4 Uislamu ni picha kamili ya Ukatoliki kama mkono wa kushoto na mkono wa kulia. 5 Vema! Sasa, hata hivyo, ningependa kutoa picha ya Uislamu, hii dini ya kiu ya damu na mapepo ambaye lazma ashikilie watu mateka hadi wakati uliowekwa na kisha kupiga magoti mbele ya wanawe wenyewe kwa Jina la Yesu Kristo. Mimi ni rassoul na ninasema kwa sababu ya utume ambao nilipokea mnamo Aprili 24, 1993. Neno la nabii. Saa ya hukumu ya Mungu juu ya Uislamu inakuja! [Mh: Mkutano unasema: "Amina! "]. 6 Kabla ya kuzaliwa kwa Uislamu, Waarabu waliabudu miungu mingi ikiwa ni pamoja na Allah, mungu kike wa mbingu ambaye ishara yake ilikuwa mwezi, na Al'ozza, nyota ya asubuhi. Mnaweza kuelewa kwa urahisi alama za mwezi na nyota katika Uislamu. Na kwa njia ile ile ambayo Roma ilifanya miungu ya kipagani na ya Kirumi na sherehe kuwa za Kikristo, ndivyo pia miungu ya kipagani na sherehe za Uarabuni zilifanyika kuwa za kiislamu. 7 Maneno matakatifu ambayo Waislamu wanatamka kabla ya kusema ni mazoea ya kahins ambao ni waaguzi wa Kiarabu. Muhammad hakuangalia mbali. Uislamu, kwa sehemu, ni uzushi safi wa kibinadamu kutoka kwa vitu vya imani vilivyopo tayari. Miungu hii iliwakilishwa angani na nyota na duniani na mawe yaliyokusanywa katika Ka’ba huko Makka kulingana na uwongo wa Uislamu. 8 Tangu siku zote, hata kabla ya Uislamu, kila mwaka kulikuwa na maandamano makubwa: hajj, wakati ambapo maonyesho ya mahujaji kutoka kila mahali ilibidi wazunguke mawe haya mara saba ambayo iliwaongoza kwenda kwenye Mlima Arafat ambao ni tofauti na Mlima Ararat huko Uturuki. Ilikuwa mnamo Januari 622 kwamba, Muhammad akiungwa mkono na jeshi la watu elfu tatu walirudi Makka, akiangusha sanamu za Ka'ba na kuacha moja ambayo ingekuwa kiti cha Abraham, Ishmael na Hagar. 9 Kulingana na Uwongo wa Uislam, Muhammad mwenyewe alizaliwa karibu mwaka 571. Baba yake anayedhaniwa kuwa Abdallah alikufa miaka minne kabla ya kuzaliwa kwake. Mama yake Amina alimweka katika kabila la Bedouin na akafa baada ya kumrudisha. Alichukuliwa na babu yake mzazi ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka nane. Kwa hiyo ni mjomba wake Abu Talib ndiye aliyemlea. Akawa mchungaji na kaka yake mlezi.
10 Kaskazini mwa Makka, akasikia wakizungumza kuhusu Musa na Yesu. Lakini hakuweza kupata Torati, vitabu vitano vya Musa. Lakini baadaye, Khadija, mjane tajiri Myahudi ambaye alikuwa akiongoza msafara wake na ambaye alikua mkewe baadaye, alimpa hati za Musa. Wazazi wa Khadidja walipinga ndoa hii, ambayo hata hivyo ilifanyika. Alikuwa na miaka 24 na Khadija alikuwa na miaka 40. 11 Baada ya kifo cha Khadidja, Muhammad alichukua wake tisa halali na masuria kadhaa, aliyependwa zaidi kati yao alikuwa Aicha, binti wa rafiki yake Abu Bakr ambaye angekuwa khalifa wa kwanza, makasisi wa kwanza baada ya kifo cha Muhammad. Aicha alikuwa na umri wa miaka sita alipomchukua kama mchumba wake na kumuoa akiwa na miaka tisa. Kwa hivyo Mahomet alioa Aicha wakati Aicha alikuwa na umri wa miaka tisa. Na ilikuwa mikononi mwa Aicha ambapo Mohammed alikufa akiwa mgonjwa wakati alikuwa na miaka kumi na nane. Walakini, ujue kuwa sio mambo haya kuhusu maisha yake ya faragha ambayo humfanya yeye kuwa nabii wa uwongo. 12 Lakini Muhammad alianzaje huduma yake? Kulingana na Uwongo wa Uislame, karibu na mwaka wa 612, alistaafu kwa kutafakari, alikuwa amelala kwenye pango juu ya Mlima Hira na aliota ndoto. Malaika Djibril ambaye sio malaika mkuu Gabrieli wa Biblia, alimjia na kumwuliza asome kutoka kwa kitabu. Muhammad akamwambia: «Sijuwi kusoma!». Lakini Muhammad alipoamka, alihisi kwamba kitabu kimeingia moyoni mwake; huu ndio ukweli wa Maouloud. Korani haikushuka kutoka mbinguni kama inavyosemwa, lakini ilishuka ndani ya moyo wa Muhammad. Na siku hiyo, kutoka nje ya pango, anamwona malaika mkubwa yule yule, akijaza upeo wa macho na anayemsalimu akisema: «Salamu, mjumbe wa Mwenyezi Mungu! ». 13 Kwa hivyo sasa, alipozaliwa, kwani hakuwa na baba, jina lake lilikuwa la kwanza «Ma-Homet» ambayo ni kusema «yatima» au «asiye-julikana». Ilikuwa wakati alipokuwa nabii ambapo jina lake lilibadilishwa na kuwa Muhammad, maana yake «mbarikiwa na Mungu». Lakini mwanzoni ilikuwa "Ma-Homet" ambayo ni kusema «asiye-julikana». "Ma" inaonyesha kukanusha kwa Kiarabu. Mnaona ? Saulo na Paulo kwa Ukristo, Muhammad na Mohamed kwa Uislamu. [Mh: Mkutano unasema: "Amina! "]. 14 Isaka na Ishmaeli, vita vilianza Mbinguni ndipo vikaja kwa Wayahudi na Waarabu. Isaka alikuwa na Uyahudi na Ishmael pia alitaka dini yake. 15 Na wakati, kwa upande Mungu, kutoka kwa ukoo wa Isaka, Yesu Kristo alizaliwa bila baba kwa dini ya Uyahudi, ilikuwa dhahiri kwamba siku moja kutoka kwa shetani kutoka ukoo wa Ishmaeli, mwana azaliwe bila baba kwadini inayotokana na Uyahudi. Lakini mmoja alizaliwa na bikira wakati mwingine alizaliwa kutokana na dhambi ya ngono ili kuwa ngono iliyofafanuliwa. Na mwanzoni, Kujifunika kulilazimiswa kwa wanawake katika Uislamu ili kupunguza dhambi za ngono ambazo zilimtesa mtu mmoja tu, Muhammad, mwenyewe aliyezaliwa na baba asiyejulikana. 16 Kwa hivyo hadi leo wanawake wameathiriwa na udhaifu wa kijinsia wa mwanamume mmoja. Ni jinai na ninyi wanawake wa Kiislam, ninawasihi kwa Jina la Mungu Mwenyezi, ikiwa mnafikiria kuwa ninyi sio mwili wa shetani basi tupeni nira hii na muwe huru! 17 Kwa nini ni maelfu ya miaka baada ya kuumbwa kwa ulimwengu kwamba mwanamke atakuwa shetani ambaye lazima awe amefunikwa? Mwanamke alikuwepo kabla ya Uislamu na Mungu aliyemuumba hakuwahi kumfunika uso wake. Ikiwa mna uhakika kuwa ninyi sio mwili wa shetani ambaye lazima afichwe, tupeni nira hiyo na muwe huru kwa sababu mbele za Mungu, muko uchi licha ya hii! [Mh: Mkutano unasema: "Amina! "]. 18 Wakati wa uhai wake, kupitia misukosuko na maombolezo, alipokea na kuongea kana kwamba ni kwa unabii, maneno ambayo yalikumbukwa kwa moyo na kisha yakarekodiwa kwenye vile vya bega na ngozi za kondoo na kwenye papyri. Kumbuka kwamba sehemu ya maongozi haya hayamo ndani ya Korani ila ni maongozi yanayotoka moja kwa moja kwa Muhammad mwenyewe. 19 Na kufikia kwa Korani ambayo tunayo leo, kwanza ni Khalifa Othman ambaye anaanzisha «Vulgate» kulingana na maandishi ya Zeïd Ben Tsàbit yaliyopitiwa na kamati. Na kabla na baada ya Khalifa Othman hadi kwenye kamati hii kupitia Zeïd Ben Tsàbit, maandishi hayo yamepata usafishaji mkubwa ambao umetokomeza aya za kushangaza ambazo zilipokelewa na Muhammad mwenyewe. . 20 Na ninatabiri kwamba ulimwengu utaisha na mamlaka ya Uislam. Itatokea siku moja au nyingine duniani… [Mh: Kusanyiko linasema: «Amina! »]. [Kc.62v3]. 21 Kwa kweli, Muhammad aliitilia shaka roho hii mara kadhaa, lakini Khadija alimtia moyo. Alimshawishi sana vinginevyo angeweza kutubu hadharani! 22 Na Korani iliondoa yote na kisha ikafanywa marekebisho mengi. Kila kitu ambacho ni mada ya kazi ya kamati ni ya kishetani: kama Korani, tuna biblia ya Tob ya Wakatoliki, Ostervald, King James, Martin, Louis Segond bibilia za Waprotestanti na Wainjili…. 23 Muhammad alikuwa na mishituko wa moyo mara kadhaa ambazo zilimfanya kupoteza fahamu na yeye mwenyewe alifikiri ni wazimu. Wanahistoria wote wanaripoti hii. Mnamo Septemba 24, 622, Mahomet alikimbilia Madina na akajiweka huko kama papa mkuu na akaanzisha jamii ya kitheokrasi ikiungana na maisha ya kisiasa, kijeshi, kiuchumi na kidini ambayo Uislamu bado unayo. 24 Kabla ya Uisilamu, makazi ya Wayahudi yalikuwa tayari yamepatikana huko Yathrib, Na Wakristo walikuwa katika Quraish. Kwa kutaka kuwapata Wayahudi, Muhammad anawaambia Waislamu wageukie Yerusalemu wakati wa sala na pia wazingaatie mafunga ya Yom Kippur, mafungo wa msamaha mkubwa kama Wayahudi. 25 Wakizungumza juu ya Muhammad, Wayahudi wengine walidhani kwamba alikuwa mfariji aliyeahidiwa na Kristo. Basi Wayahudi wakamwita, wakamwuliza na kuona kuwa yeye ni mdanganyifu. Wakati Muhammad aliona kuwa ameshindwa, alichukua silaha na kuwachinja Wayahudi na kuwaambia Waislamu sasa wageukie Makka wakati wa kusali na akabadilisha mafungo ya Yom Kippur kuwa Ramadhan. Na akaanza kupinga Musa, Yesu, na Biblia. Akabadilisha jina la Yathirib kuwa Madina na jina la Quraish kuwa Makka. 26 Hakuna mahali popote panasemwa kwamba Muhammad alitafuta utakaso isipokuwa kwa tabia ile ile ya kinyama, na ya kiu ya damu ambayo wafuasi wake wanaishika. Udhaifu mkubwa wa Muhammad ulikuwa ngono. Uzinzi na Usherati vilifuatana naye mpaka kifo, na vipi leo wakati wanawake ni wazuri sana? Alipochukua mke wa pile, hakushikilia na akachukua wa 3, hakushikilia na akachukua wa 4, wa 5, wa 6, ... halafu mabibi, masuria hadi akaugua na kufa. [Kc.9v21]
27 Na sasa waangalie Waislamu hawa, licha ya sala tano kwa siku, wanaweza kutoka msikitini na kumshika mtu na kumkata koo kama mnyama. Lakini, mwanzoni mwa ushindi wao wa dunia, waliogopa kushambulia Wakristo, wasio na msimamo na walio wazi zaidi kuliko Wayahudi katika ukweli wao. 28 Na ilikuwa kwa silaha ndio sababu sehemu ya dunia ilitiishwa kwa dini hii kwa muda. Na kwa kuchagua Ijumaa kama siku takatifu, tunajua inamaanisha nini. Bwana Yesu Kristo alikamatwa siku ya Ijumaa, akakaa gerezani, na kusulubiwa siku ya Ijumaa. Na maagizo yote ya fumbo, waganga ... wana Ijumaa kama siku nzuri. Ijumaa ni siku ya shetani, kwani "13" ni idadi ya shetani. Shetani anaonekana katika Ufunuo sura ya 13 na ninamfunua Shetani katika Kacou sura ya 13. [Mh: Mkutano unasema: "Amina! "]. 29 Vema! Waislamu wengine huzungumza juu ya maelezo machafu katika Biblia na hata hivyo Korani ina mengi na mabaya zaidi kwa mfano wa: «tone la mbegu ya uzazi iliyomwangwa» katika Surah Al-Qiyâma. Kwa usahihi, Quran, Sura 75:37. Haifai kwa kitabu kitakatifu. Ikiwa Mungu hakuwa amewapa Waarabu Uislamu, ubinadamu tayari ulikuwa umeharibiwa na Waarabu. Mnaona ? Ni Mungu ambaye alifanya hivyo ili kufuga wanyama hawa wa porini. [Mh: Mkutano unasema: "Amina! "]. 30 Ni kwa upendo niliposema haya yote kwa sababu Waislamu ni watu ambao siku moja Mungu atawatembelea. Ndio sababu sikuzungumza sana juu yao. Kuta za Uislamu siku moja zitaanguka kama kuta za Berlin na Ukomunisti. Wakati unakuja ambapo mwana wa Uislam atasimama kwa msingi wa Ujumbe huu na kuwa mbeba-bendera wa kizazi chake kama mimi na atahubiri kwa ulimwengu wote. Atawahukumu Waislamu, Wakristo na Wayahudi. 31 Na wakati huo, wale ambao wataamini watachoma rozari zao, vitabu vyao vya hadiths, na Korani na mateso makubwa na ya mwisho dhidi ya Kanisa yatakuja. Kwa Jina la Yesu Kristo, Ukristo utajipenyeza na kuuvunja Uislamu kama Ukuta wa Berlin na hapo ndipo mateso ya kweli yataanza na itakuwa hivyo! Na ni kwa sababu ya saa hii ndipo Mungu aliruhusu kusimama na kutoa umaarufu mkubwa kwa kitabu kiitwacho "Korani takatifu". [Kc.40v32]. 32 Wakati utafika ambapo Mkristo katika Afrika Kaskazini anaweza kumwabudu Mungu wake kwa uhuru, anaweza kusema juu ya Mungu wake kwa uhuru, na hakuna sheria na dini yoyote inayoweza kuzuia hilo. Mungu atahakikisha kwamba siku moja, kupitia mtandao au vinginevyo, vizuizi na kuta za Uislamu zitatobolewa na matunda yatasikiwa barabarani na Neno la Mungu na ukombozi utawafikia Waarabu huko Afrika Kaskazini hata kwenye chumba chake cha ndani. 33Mtandao ndio njia kuu ya mawasiliano ambayo Mungu amewapa wanadamu wanaoweza kuvunja vizuizi vyote vya kibinadamu na kidini. Na sijui jinsi gani; lakini siku moja Mungu wa Wakristo atatembelea Afrika Kaskazini tena na uinjilishaji mkubwa bado unaweza kufanyika katika viwanja vya michezo kama siku za Wakristo wa kwanza. Na itatokea siku moja duniani kwa sababu mimi, nabii Kacou Philippe, nilitangaza hii! 34 [Sehemu ya pili ilihudhuriwa Juni 16, 2019] Na nyinyi washiriki wa Uislam, Uhindu, Ubudha, Ukristo na Uyahudi, mimi sio Mpentekoste au mchawi wa Misri lakini nabii. Ninafanya miujiza lakini mimi ni nabii na kwa hivyo ninakuja kwenu na neno. Hapo mwanzo kulikuwako neno. Wakati kizazi cha Shetani kilikwenda kutoka Ulaya hadi pembe za ulimwengu, ilikuwa na misalaba na sanamu kuchukua nafasi ya uchawi wa Kiafrika, lakini ninakuja kwenu na maneno ya Mungu.
35 Aprili 24, 1993, nilikuwa mpagani na muumbaji wa mbingu na dunia alinipeleka kwenye maono na tazama, giza lilifunika uso wote wa dunia na nyota ilionekana angani. Na nyota iliposhuka, dunia iliangazwa kwa sababu ya nuru ya nyota mpaka nuru iwe juu ya uso wote wa dunia. Na nikaona kuwa nyota hiyo ilikuwa malaika na mwana-kondoo na mwangaza wao uliangaza dunia nzima. Na Mwanakondoo alizungumza nami na neno lake likaingia ndani yangu kama dutu ili nuru hii iangaze dunia. Mimi ni bahasha na pazia na mdomo wa taa hii. Na leo milipuko ya nuru hiyo imefikia mataifa yote ya dunia kama ilivyokuwa ikishuka kutoka mbinguni. [Kc.46v33] [Kc.70v49]. 36 Na tangu 2002, neno hili ndani yangu linazungumza. Na nuru hii ilishuka kutoka mbinguni na kuishi ndani yangu inaangazia dunia kwa wokovu wa wanadamu. Nuru hii ambayo ilinena kupitia manabii tangu Adamu, ni nuru ile ile ambayo inazungumza kupitia mimi kwa sauti ile ile. Na ninyi ma rabbi, sadhus, wachungaji na maimamu, ikiwa mlikuwa watoto wa nuru, mngeongoza dunia yote kuelekea kwangu. Ni Mungu yule yule aliye hai anayeubadilisha mwili wake. Simu ikiacha kufanya kazi, Mungu huchukua chip na kuiweka kwenye simu mpya na sasa ni simu ya Kiafrika lakini ni nambari ile ile na sauti ile ile na Mungu yule yule. [Kc.88v14]. 37 Mimi sio nabii Mkristo na sijawahi kuwa nabii Mkristo. Kamwe. Nina matamshi ya Kikristo kwa kuzaliwa tu kama nilivyo pia na rangi hii ya ngozi na matamshi ya Kiafrika kwa kuzaliwa. Mimi ni nabii wa mataifa yote, kabila na lugha zote za dunia. Ilikuwa kuepuka visasi vya Kiyahudi kwamba Yohana Mbatizaji na Paulo na manabii Waebrania walikimbilia jangwani. Na ndio sababu niliishi na familia ya Waislamu katika wilaya ya Waislamu. Na niliwapenda Waislamu kama Wakristo. 38 Kwa miaka minne, Mwislamu alikuwa kama baba yangu. Tayari alikuwa kipofu aliponikaribisha nyumbani kwake na ilikuwa kwa sauti yangu kwamba alinitambua. Na nilizungumza lugha yao kwa sababu ya wake zake ambao walinitunza hawakuelewa Kifaransa. Lakini mimi sio Mkristo wala Muislamu na sio Bibilia au Korani inayoongoza hatua zangu. Na wale ambao waliniamini hawatakuwa Wakristo lakini waliamini katika nabii aliye hai wa wakati wao. Kitabu au maiti haiwezi kuwa nabii au kiongozi wa kiumbe hai. 39 Torati inaweza kukufanya uwe Myahudi mcha-Mungu. Biblia inaweza kukufanya uwe Mkristo mcha Mungu. Korani inaweza kukufanya uwe Mwislamu mcha Mungu. Bhagavad-Gitai inaweza kukufanya uwe Mhindu mcha Mungu lakini ili uokolewe, unalazimika kuamini kwa nabii ambaye Mungu aliye hai atamtuma kwa wakati wako na nabii huyu, mimi ndiye, mimi ambaye ninazungumza nawe. 40 Wakati wa hukumu, wakati Noa atatokea, kutakuwa na wale watakaomtambua, wale ambao aliishi nao kwa sababu alikuwa nabii wao. Lakini je! Utamtambua Muhammad? Wakati Musa atatokea, kutakuwa na wale watakaomtambua, wale ambao aliishi nao kwa sababu alikuwa nabii wao. Na nitakapotokea, mtanitambua kwa sababu mimi ndiye nabii ambaye Mungu alimtuma kwenu na ambaye aliishi pamoja nanyi. Lakini je! Mtamtambua Muhammad? 41 Leo mnajua kimo changu, umbo langu, sauti yangu, kama vile zamani, kulikuwa na wale ambao walijua kimo, sauti, sura ya Musa, wale ambao walijua kimo, umbo, sauti ya Muhammad, wale ambao waliishi naye. Lakini mmenikataa mimi, nabii ambaye Mungu alikutuma. Na kama ninavyowahukumu duniani, ndivyo nitakavyowahukumu mbele za Mungu na mbele ya malaika wake watakatifu na mbele za manabii ambao mnadai. Mahekalu yenu, makanisa, misikiti na masinagogi ni makaazi ya kishetani tu. 42 Ukristo ni ufalme wa giza. Ni mbaya kuliko dini zote. Dini ni za mapepo sana hivi kwamba Yohana Mbatizaji alilazimika kuondoka nyumbani kwa kuhani Zakaria. Na Paulo ilimbidi aende akakae miaka kumi na nne katika jangwa la Arabia ili kusahau yote ambayo dini zimemfundisha. Na ikiwa mnanikataa leo, ni kwa sababu ya dini. 43 Maadui wa Mungu duniani ni dini na viongozi wao. Uislamu na Ukristo na Uyahudi ni utimilifu wa Ushetani. Hizi ndizo sifa tatu za Shetani. Uyahudi ni Baba Shetani juu yako. Uislamu ni Shetani katikati yako na Ukristo ni roho ya Shetani anayekufanyia miujiza na maajabu. 44 Ukweli kwamba baada ya maono nilienda kwa Wakristo, ni dhambi. Shetani ndiye aliyenisukuma kuelekea kwa ukristo. Walakini, katika walisoma shahiri za Bibilia katika kanisa, sikusimama kama vile leo simweki mtu yeyote wima wakati wa kusoma aya ya Biblia. Viongozi wa Kikristo ni mashetani. 45 Katika maono nikaona makuhani, manabii, mitume, wainjilisti, na wachungaji wa dunia. Miili yao ilikuwa miili ya watu, lakini vichwa vyao vilikuwa vichwa vya wanyama tofauti. Walikuwa wakifanya maandamano na kila mmoja wao alikuwa na msalaba mkubwa mikononi mwake wote uliinuliwa mbele yake na walikuwa wakisogea nayo kama katika ibada za Katoliki na moshi wa ubani ulipanda juu kutoka kwenye madhabahu. Walikuwa wakitembea polepole sana na vichwa vyao vilikuwa vichwa tofauti vya wanyama. Mbele yao iliandikwa: «Yesu Kristo ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme». 46 Baada ya hapo niliota ndoto ya kutisha: Niliangalia juu na tazama, Papa mkubwa alikuwa angani akiangalia Mashariki. Alitaka kunipiga na msalaba aliokuwa ameshika mkononi mwake na niliamka. Wote ni mashetani. Na wakati Mkatoliki, Mprotestanti, Mwinjili au Mbranhamani anasali juu ya chakula, mimi sili, hata ikiwa ameomba kwa jina la Yesu Kristo. [Kc.123v27]. 47 Kuwa Myahudi, Mwislamu, Mhindu au Mkristo ni kama kuwa shoga na mikusanyiko yao katika mahekalu, misikiti, makanisa na masinagogi ni Kiburi cha Mashoga mbele za Mungu. Wakati Wakristo wanauawa na Waislamu ni kama mauaji ya kisiasa au ya kikabila, haiwapi haki ya kwenda mbinguni kwa sababu walikufa kwaajili ya dini. Na katika tafsiri ya kitabu chao kitakatifu, wote ni waongo. Unawezaje kutetea au kutafsiri yaliyoandikwa katika Biblia au Korani wakati wewe sio nabii wala shahidi wa ukweli wa yalioandikwa hapo? [Kc.134v29]. 48 Mimi ninayesema nanyi, inaarifiwa kwamba wakati wa kuzaliwa kwangu malaika waliimba. Mashahidi ambao bado wako hai waliona umeme na cheche na taa zilizofanana na mishumaa na wakasikia nyimbo angani katika eneo la kilomita tatu na watu walikuwa wakizunguka na wengine wakijitupa chini wakiabudu na siku zilizofuata, watu walikuja kutoka kila mahali na mizimu yao na kuzichoma na kuamini. Gazeti lilizungumza juu yake lakini kwamba, siwezi kuitetea kwa sababu nilikuwa mtoto mchanga na nitaendaje kutetea Biblia na Korani, vitabu vya zamani ambavyo vilikuwa kwenye majumba ya kumbukumbu? [Kc.83v2-4]. 49 Lakini najua kuwa mnamo 1993, nilisimama jangwani na malaika kadhaa walitokea na kuunda mawingu meupe na kwenye mawingu iliandikwa kwa Kifaransa: "tangaza hukumu na mabadiliko ya maisha". Unaweza kunikataa, lakini ujue kuwa katika hukumu ya mwisho nitakuwa hakimu wako. Maisha yangu yote, nimeishi kujitenga na ulimwenguni. Ikiwa ninapenda au la, siku zote nimekuwa mfungwa wa sauti ya ndani ambayo imekuwa ikiniambia kila wakati, "Ukifanya hivi, kwa uamuzi watasema hivi." Fanya hivi ili katika hukumu wasiseme hivi ”.[Kc.21v6] [Kc.117v29] [Kc.129v3] [Kc.135v13]. 50 Na nyinyi washiriki wa Uislam, Uhindu, Ubudha, Ukristo na Uyahudi, ikiwa ninyi ni wana wa manabii, hamtapigana nami lakini mtakuja kwangu kama ilivyo katika 2 Wafalme 9, wana wa manabii walitoka mbele ya Elisha na kuinama kwake. Ninyi ni watu wenye kiburi waliokusudiwa kuzimu. 51Ninyi, marabi na maimamu na wachungaji na manabii, hamjawahi kuona maono ya Mungu na ninapozungumza, ninyi pia mnazungumza na bado siku moja katika hukumu mtaonekana mbele yangu. Na kama wanyama porini, unasimama na kusema: "Mimi ni imam, mimi ni mchungaji, mimi ni mtume, mimi ni rabi, ...". Sawa, lakini kupitia nabii gani Mungu aliwateua? Je! Katika nchi zenu, unaweza kusimama na kujiimarisha kama waziri na rais atakubali? 52 Na ninyi mulio hai leo, Musa, Buddha, Krishna, Yesu na Muhammad walikuwa manabii wenu wapi na mwaka gani? Je! Una barua pepe na nambari zao za simu? Je! Wao ni manabii wako kwa sababu wewe ni Wayahudi, Waislamu au Wakristo? Je! Musa atakuwa nabii wangu katika mwaka huu 2019 ikiwa nitasoma Torati na kuheshimu Sabato na sala na kutawadha? 53 Je! Jenerali de Gaulle atakuwa rais wa Wafaransa mara tu Wafaransa watakapoanza kutangaza hotuba zake za zamani kwenye Runinga? Unaposoma Biblia au Korani au Veda au Bhagavad-Gita, unapoomba sana, na unapofunga sana, hufukuzwi tena kwenye ndoto? Je! Haule katika ndoto na je! Shetani hawafinyagi tena katika usingizi wenu? Je! Hamufanyi ngono kwenye ndoto? Na mtaenda paradiso gani na hayo? 54 Fuateni dini lakini watoto wote wa Mungu kati yenu katika kizazi hiki watakuja kwangu kupata uzima wa milele. Katika maono ya Aprili 24, 1993, niliona umati wa watu wakinijia kutoka mataifa yote na makabila na dini zote za dunia na wakasema, «Hatujamwona Malaika na Mwana-Kondoo na hatujasikia maneno aliyenenwa na Mwanakondoo, lakini tunayaamini kabisa ». Na maneno haya yote yalitukia. Wale ambao wamekusudiwa Mbingu na ambao walikuwa kwenye umati wa maono wananijia. 55 Wanaume na wanawake wanaamini katika mataifa yote na lugha na dini na jamii zote. Katika mwezi huu wa Juni, waumini wa kwanza nchini Botswana, Nicaragua na Costa Rica walibatizwa na waumini kadhaa nchini Burundi, Zambia na Bolivia waliniomba niwatume mitume ili kuwabatiza. Wakati wa hukumu nitasonga mbele na watakatifu wa kila taifa, nanyi mtakuwa katika kundi la nabii gani? 56 Iwe wewe ni mshiriki wa Uislam, Uhindu, Ubudha, Ukristo au Uyahudi, jua kwamba mimi, Kacou Philippe, ambaye ninazungumza na wewe, mimi ni mtu kama wewe, lakini mimi ndiye malaika ambaye nilitoka Mbinguni kuwaweka alama wateule na muhuri wa Mungu katika kizazi hiki. Kila siku, ninamuomba Mungu awafungue macho kama Simoni Petro wa Biblia ili kuelewa mimi ni nani. 57 Simoni Petro akamwambia bwana wake Yesu Kristo: «Wewe Rabi wetu, Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai» na Bwana Yesu Kristo akamwambia: «Wewe ni Petro na juu ya mwamba huu wa ufunuo, nitajenga Kanisa langu ». Kauli hii kutoka kwa Petro ilikuwa mwamba na kilele cha ufunuo wote katika siku za Bwana Yesu Kristo. Mwamba wa ufunuo mnamo 1415 uliweza kusema: «Wewe John Huss, kwa wakati wetu, wewe ni Kristo, mwana wa Mungu wa walio hai». 58 Mwamba na kilele cha ufunuo mnamo mwaka wa 1545 iliweza kusema: «Wewe Martin Luther, wewe ndiye Kristo, mwana wa Mungu wa walio hai». Mwamba wa ufunuo kati ya 1933 na 1965 uliweza kusema: «Wewe William Branham, wewe ndiye Kristo, mwana wa Mungu wa walio hai». Mwamba wa ufunuo tangu Aprili 24, 1993, nikwa kuweza kusema: «Wewe Kacou Philippe, wewe ni Kristo, mwana wa Mungu wa walio hai». Kumtambua Mungu ndani ya mtu wakati ungali hai ni mwamba na kilele cha imani kwa uzima wa milele. . 59 Katika siku za Nuhu, mwamba wa ufunuo uliweza kusema: «Wewe, Nuhu, wewe ndiye Kristo, mwana wa pekee wa Mungu wa walio hai». Mwamba wa ufunuo katika kizazi ni kuwa na uwezo wa kumwambia nabii aliye hai wa wakati wako kwamba yeye ndiye Kristo, mwana wa pekee wa Mungu wa walio hai katika wakati wako. Na kutoka kwa Adamu hadi mwisho wa ulimwengu, manabii wote waliokuja duniani ni Wakristo, Mungu katika sura za wanadamu. Hii ndiyo sababu maneno yao ni neno la Mungu. 60 Na ninyi huko India, Indonesia, Iran, Pakistan, Misri na Saudi Arabia na nyinyi nyote Waislamu wa dunia ambao mnasema lazima kusiwe na manabii tena, wakikabili Al Qaeda, Boko Haram, je! Msimlilie Mwenyezi Mungu atume nabii ? Katika mataifa yenu ya Kiisilamu wakati kuna shida kidogo, kwanini mnampigia kelele rais wa jamhuri badala ya kuhoji Korani? Na wakati Salafist au jihadi anachukua silaha dhidi ya kaka yake kwa jina la Uislamu, je! Mwenyezi Mungu anakubali hilo? 61 Shia anapomchinja Msunni kwa jina la Mwenyezi Mungu, je! Mwenyezi Mungu anakubali hilo? Mwislamu anapomkata Mwislamu mwengine kichwa kwa jina la Korani, je! Hakupaswi kuja tena nabii kutoka kwa Mwenyezi Mungu? Je! Mwenyezi Mungu anafurahiya jambo hili? Wakati marais wako, wafalme, maimamu, marabi na wachungaji wanapokufa, mnachukua nafisi zao, lakini kwanini Mungu anayeishi hapaswi kutuma rassoul kuchukua nafasi ya manabii wake waliokufa? Si Mungu wala Muhammad aliyesema kwamba hakutakuwa na manabii tena. Ni nyinyi mliwasemesha hivyo. [Kc.131v22-23]. 62 Matendo yenu ni ya kishetani ndiyo sababu hamtaki tena nabii. Mnaenda na wanawake kutoka nyuma kama anavyofanya wanyama. Dini zenu zimeoza, zimejaa mashoga na watu wafisadi wanaonuka dhambi. Kompyuta zenu na simu za rununu zimejaa video chafu na picha za ngono, ndio maana hutaki nabii. Nikatae lakini nyote mtaungua motoni. Kwa kweli, sio kwaajili ya Mungu lakini ni kwa masilahi yako na imani ya kidini ambayo unapigania lakini nyote mtaenda kuzimu na wachungaji wenu, sadhus, maimamu, marabi na wafuasi wenu. Lakini watoto wa Mungu kati yenu wataacha mawazo yao na kuja kwangu kupata uzima wa milele. . 63 Ee Mungu, tangu Adamu umeinua manabii, na ulimwengu haujamalizika, lakini imekuwaje kwamba usitume manabii tena? Eliya hajafa, lakini ulimwinua Elisha baada ya Eliya. Hatukuona kaburi la Musa lakini ulimwinua Yoshua baada ya Musa. Lakini inatoka wapi kwamba Hutatuma manabii tena wakati ulimwengu unaendelea? Kwa nini ulisema kwamba mataifa yatamjua wamilele ikiwa huwapei uwezo wa kumtambua nabii? 64 Na ninyi, wenyeji wa dunia, kwa sababu mnanikataa, mnasema maneno ya kijinga ambayo yanawadhihaki kama vile: "Nabii hafi, manabii wote wako hai". Ndio hivyo ! Kwa hivyo manabii wote wako hai na kati yao kila mmoja amechagua kumtii mmoja na kutotii wengine wote? Na kwa hivyo Musa yu hai na Wakristo wanakataa kushika Sabato yake? Kwa hivyo Yesu wa Nazareti yuko hai katika Israeli na Waislamu wa Palestina wanarusha roketi ambazo zinaweza kumdhuru? 65 Mmechagua njia ya dini na vitabu vitakatifu ili kwenda kuzimu, lakini ninasonga mbele na watoto wa Mungu. Mnamo 2004, imam alikuja kuniona. Ilikuwa ni wakati pekee niliomuona. Akikuwa ameona katika ndoto nabii mkubwa na nabii huyu aliitwa Fitilah na wakati nabii huyo alipogeuka, ilikuwa mimi. 66 Imamu huyu alikuwa amekuja kuniona amevaa nguo nyeupe na rozari yake na sura yote ya imamu mcha Mungu. Lakini kabla ya kunifuata, alitaka niwe Mwislamu. Ndio hivyo! Je! Daktari anapaswa kuwa mwenye ukoma kabla ya kuwatibu wakoma? Wakati Mungu anamtuma nabii duniani, je! Nabii huyo lazima awe Mbudha kabla ya Wabudhi kumwamini? Je! Nabii huyu lazima awe Mkristo kabla Wakristo wamfuate? Je! Nabii huyu lazima awe Mhindu kabla ya Wahindu kumfuata? 67 Na kila kitu anachofanya nabii huyu lazima kiwe kulingana na Torati, Biblia, Koran, Bhagavad-Gita na vitabu vyote vitakatifu vya dini za dunia? Je! Nabii huyu hafai kusimama kwa niaba ya Mungu na kulaani mifumo yote ya dunia kwa wokovu wa watoto wa Mungu? Je! Dini zenu ni bora kuliko Neno la Mungu? Na wewe Mwislamu, ikiwa basi paradiso haifanani na Makka, hautaingia hapo? Kwa hivyo maneno ya nabii lazima yalingane na Torati, Biblia, Korani na Veda au yeye ni nabii wa uwongo? 68 Ninyi ni mashetani na nyote mtaenda motoni na dini zenu na vitabu vyenu vitakatifu. Ninazungumza kwa agizo la kimungu lililopitishwa na malaika mnamo Aprili 24, 1993. Mnikataa mimi na muwe wacha Mungu, iweni wazuri na wema, iweni katika ukweli, iweni na upendo na amani, saidieni maskini lakini nyote mtaenda kuzimu mkiwa nayo lakini wale ambao wamekusudiwa uzima wa milele kati yenu watakuja kwangu. 69 Mnamo mwaka wa 2017, Msalafi kutoka Tizi Ouzou huko Algeria aliniandikia akisema: "Ikiwa hautaki kufa, badili kuwa Uislam" lakini Toufik, Mwarabu wa Algeria kama yeye, amekuwa mwanafunzi wangu asiyechoka tangu 2011. Irani inasaga meno yake dhidi yangu lakini Farshid mwanaichi wa Irani ni mwanafunzi wangu. 70 Maimamu, ulemasi, mashekhe, ayatollah wananichukia lakini Waislamu wengi wacha Mungu wamekuwa wanafunzi wangu. Hawakuacha Uislamu kuwa Wakristo lakini waliniamini mimi nabii aliye hai wa wakati wao kama vile pia kabla yao, kutoka kizazi hadi kizazi, watoto wa Mungu waliamini katika nabii aliye hai wa wakati wao kwaaijili ya uzima wa milele. Walichukua muda kunisikiliza licha ya kazi zao kwa sababu ni juu ya wokovu. Wanajua kwamba siku moja watakufa na wataenda kuhukumiwa mbele za Mungu. 71 Msalafi huyu wa Algeria alisema: "Nabii wangu ni Muhammad, sio wewe! ". Nilimwambia: Sawa, lakini Muhammad hakukufunulia kuwa uvutaji sigara utakupeleka kuzimu. Muhammad hakukufunulia kwamba Waislamu weusi uliokuwa unauza Libya wana damu ile ile ya Ishmaeli inayotiririka ndani yako. Kwa sababu ulinikataa, haujui Waislamu ni akina nani huko Senegal, Nigeria, Sudan na kote Afrika nyeusi na India. Lakini nawaambia kwamba alikuwa Hajiri Mmisri ambaye alimzaa Ishmaeli na Ishmaeli alikaa Misri na kuoa Mmisri. Na kulikuwa na uzao wa Ishmaeli huko Misri, na sehemu ya mbegu hiyo ilienea Uarabuni, na kutoka kwa mbegu hiyo huko Arabia alikuja Muhammad. 72 Kwa hivyo, kizazi cha Ishmaeli ambaye alibaki Misri alikua sehemu ya jamii nyeusi, Waishmaeli au Waarabu weusi. Na Uislamu uliwafikia hapa Afrika. Mungu alisema juu ya Ishmaeli atakuwa punda mwitu kwa sababu angeishi mbali na Bonde la Manabii. Na mtu yeyote anayemkataa nabii aliye hai wa wakati wake ni punda mwitu. 73 Ninyi nyote mnaokaa duniani, kwa jina la Mungu Mwenyezi, nawaombeni muinue vichwa vyenu. Kuhusiana na Wokovu, Mungu ambaye ni mkamilifu hakupendelea watu wengine kuliko wengine. Mungu hakumpendelea Myahudi kuliko Mwarabu au Mhindu kuliko Mkristo. Wewe Mwarabu, dini ya familia yako ya kuzaliwa inaweza kuwa Uhindu. Wewe Mkristo, dini ya familia yako ya kuzaliwa inaweza kuwa Uislamu. Wewe Mhindu, dini ya familia yako ya kuzaliwa inaweza kuwa Ukristo. 74 Ikiwa Musa, Yesu, Muhammad, Krishna au Buddha ni mjumbe wa Mungu au la; ikiwa Torati, Biblia, Korani, Veda ni kitabu kilichoshuka kutoka mbinguni au la, haijalishi kwako wewe uliye hai leo. Mapenzi ya Mungu kwa wokovu wako sio yale ambayo familia yako au kile yeyote aliye karibu nawe anafanya lakini kile nabii aliye hai wa wakati wako anakuambia. 75 Ulizaliwa peke yako na ujue kuwa siku moja utakufa peke yako na pia utasimama peke yako katika hukumu mbele za Mungu. Sio baba yako au imamu, hakuna atakayejibu kwa niaba yako. Lakini Mungu ambaye ni mwadilifu atatuma nabii wakati ungali hai, kukuonyesha njia ya kwenda mbinguni, kama vile pia kabla yako, Yeye alituma manabii kuonyesha njia ya mbinguni kwa vizazi kabla yako. 76 Mnamo 1993, niliona paradiso ya Mungu na manabii wake kufunikwa na wingu jeupe, lakini paradiso za dini na vitabu vitakatifu hazipo popote. Na Wokovu hauwezi kupatikana kwa mijadala au majadiliano au kwa mazoea ya dini ya zamani ya wazazi lakini Wokovu ni kumtambua nabii aliye hai wa wakati wako na ni nabii huyu ambaye atakuambia nini unapaswa kufanya ili kuokolewa kama kabla yako, watu kama wewe walipokea manabii katika siku zao na wakaokoka. 77 Baada ya kunisoma au kunisikiliza, una chaguo mbili mbele yako: Ama utakufa katika Uislamu, Uhindu, Ubudha, Ukristo au Uyahudi na unaenda kuzimu, au umufuate nabii aliye hai wa wakati wako ili kwenda paradiso na huyo Nabii, mimi ndiye, ninayesema nawe.
Comments
Post a Comment